Mbunge
 wa  Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu (kushoto) akijadiliana jambo
 nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma  leo na Mbunge wa Jimbo la  Iringa 
Mjini Peter Msigwa(katikati) na kulia ni Mbunge wa Jimbo la  Mbeya Mjini
 ,  Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu.
Picha na Magreth Kinabo -MAELEZO
Baadhi
 wa askari polisi, magereza na uhamiaji wakiwa katika viwanja vya Bunge ,
 mjini Dodoma mara  baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, 
Dk.Emmanuel Nchimbi akitoka nje ya  ukumbi wa Bunge leo mara baada ya 
kuwasilisha hotuba  yake ya  makadirio ya mapato na matumizi ya wizara 
yake  kwa mwaka wa fedha 2013/2014. 
 
 
Waziri
 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk.Emmanuel Nchimbi akitoka nje ya  ukumbi 
wa Bunge mjini Dodoma   leo mara baada ya kuwasilisha hotuba  yake ya 
 makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake mwaka wa fedha 2013/2014
 na kauli ya serikali kufuatia mlipuko wa bomu mjini Arusha. Kushoto ni 
Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, Profesa Anna Tibaijika 
na kulia ni Mbunge wa   Jimbo Kigoma Kusini, David  Kafulila.



0 comments:
Post a Comment