Wakati Manchester united wakiendelea kusherehekea  ubingwa wa ligi kuu nchini uingereza
walioutwaa  baada ya kuichapa klabu ya
ASTON VILLAR  magoli 3-0 sikunchache
zilizopita, leo wameshuka dimbani EMIRATE 
kumenyana na  timu ya  ARSENAL maarufu kama  washika bunduki wa LONDON. 
|  | 
| Mnachester united wakishangilia kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza 2012/2013. | 
Katika mchezo huo machester united itakuwa inacheza
kukamilisha ratiba lakini pia kulinda heshima huku wao 
ARSENAL  walioko nafasi  tatu wakiwa na pointi 63 kwenye msimamo wa
ligi wakitafuta ushindi kwenye mchezo huo ili wajihakikishie uwezekao wa kubaki
 katika 
nafasi  nne bora.
|  | 
| Arsenal Wenger. | 
Hata hivyo katika mchezo wa leo klabu ya machester united
ambao ni mara yao ya kwanza  kutembelea
dimba la EMIRATE wakiwa na mshambuliaji ROBIN VAN PERSIE aliyejiunga na klabu
hiyo msimu uliopita akitokea ARSENAL,  imetakiwa kuchukua tahadhari ya kutosha kwa
mshambuliaji huyo dhidi  ya mashabiki wa
ARESANAL wanaolalamika juu ya mwanasoka huyo kujiunga na klabu ya MANCHESTER
UNITED.
|  | 
| Robin Van P ersie. | 
VAN PERSIE  ambaye ana
magoli 28 kwenye klabu yake ya  sasa ya
MANCHESTER UNITED  alijuanga na klabu
hiyo August  mwaka jana  kwa pound 
milioni 24.
EDEN HAZARD; LAZIMA TULIPIZE KISASI.
Mhambuliaji wa klabu ya CHELSEA HAZARD amesema leo wanataka kulipiza kisasi dhidi ya klabu ya SWANSEA baada ya timu hiyo kuwatoa nje michuani ya Capital One Cup mapema msimu huu.
|  | 
| wa kwanza kutoka kushoto, Eden Hazard. | 
muokota mipira pembeni mwa uwanja wakati timu yake ikimenyana na SWANSEA kwenya michuano ya
Capital One Cup ambapo SWANSEA iliweza kuibuka na ushindi wa magoli 2-1
Francis Kivuyo www.goal.com




0 comments:
Post a Comment