Kocha
 kutoka Uingereza Ben Illingworth akiwafundisha mchezo wa Rugby 
wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika 
tamasha la michezo lilofanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya 
Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya 
ulinzi ya G4S. (Picha na Mpiga Picha Wetu) 
 
Wanafunzi
 wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika tamasha la
 michezo ya Rugby kuendeleza mchezo huu Tanzania na lilohusishwa na 
Bhubesi Pride kutoka Uingereza, lilofanyika viwanja vya shule ya 
kimataifa ya Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na 
kampuni ya ulinzi ya G4S. (Picha na Mpiga Picha Wetu)
 
Kocha
 kutoka Ufaransa Guillaume Boisseau akiwafundisha mchezo wa Rugby 
wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika 
tamasha la michezo lilofanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya 
Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya 
ulinzi ya G4S. (Picha na Mpiga Picha Wetu)

0 comments:
Post a Comment