>>YANGA 1 KAGERA 0, LEO TENA MUUAJI NI NIYONZIMA!
>>KAVUMBAGU AKOSA PENATI!!
>>MECHI INAYOFUATA NI YANGA v TOTO!!
>>COASTAL O RUVU SHOOTING 0, COASTAL YAINASA SIMBA KWA POINTI!!

Bao la ushindi kwa Yanga lilifungwa na
Haruna Niyonzima katika Dakika ya 66 hii ikiwa mara ya pili mfululizo
kwa Yanga kushinda Bao 1-0 kwani majuzi waliitungua Azam FC Bao 1-0 na
Mfungaji ni huyu huyu Niyonzima.
Kipindi cha Kwanza, katika Dakika ya 45,
Yanga walipata Penati kufuatia Mchezaji wao Didier Kavumbagu kucheza
rafu na Kipa Klayesebula lakini Kavumbagu alikosa Penati hiyo.
Huko Mkwakwani Tanga, Coastal Union na
Ruvu Shooting zilitoka 0-0 na kuifanya Coastal iwe na Pointi 31 sawa na
Simba lakini wamezidiwa kwa Tofauti ya Magoli Bora ya Simba.
VIKOSI VILIVYOANZA:
YANGA: Ally
Mustafa ‘Barthez’, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub ‘Cannavaro’,
Kevin Yondan, Athumani Iddi ‘Chuji’, Simon Msuva, Frank Domayo, Didier
Kavumbangu, Said Bahanuzi, Haruna Niyonzima
KAGERA SUGAR: Hannington
Kalyesebula, Benjamin Asukile, Martin Muganyizi, Malegesi Mwangwa,
Amandus Nesta, Gaorge Kavilla, Julius Mrope, Juma Nade, Darlington
Enyinna, Shijja Mkinna, Daudi Jumanne
VPL: RATIBA/MATOKEO:
Jumatano Februari 27
COASTAL UNION 0 RUVU SHOOTING 0
YANGA 1 KAGERA SUGAR 0
POLISI MOROGORO v MGAMBO JKT [JAMHURI , MOROGORO]
JKT RUVU v TOTO AFRICANS [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
MTIBWA SUGAR v TANZANIA PRISONS [MANUNGU, MOROGORO]
Jumamosi Machi 2
POLISI MOROGORO v JKT OLJORO [JAMHURI, MOROGORO]
Jumatano Machi 6
JKT OLJORO v TANZANIA PRISONS [SH. AMRI ABEID, ARUSHA]
AFRICAN LYON FC v RUVU SHOOTINGS [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
MGAMBO JKT v MTIBWA SUGAR [MKWAKWANI, TANGA]
Alhamisi Machi 7
JKT RUVU v KAGERA SUGAR [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
Jumamosi Machi 9
YOUNG AFRICANS v TOTO AFRICANS [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]
AZAM FC v POLISI MOROGORO [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
Jumapili Machi 10
SIMBA SC v COASTAL UNION [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]
MSIMAMO:
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
GD |
PTS |
1 |
YANGA |
18 |
13 |
3 |
2 |
23 |
42 |
2 |
AZAM FC |
18 |
11 |
3 |
4 |
16 |
36 |
3 |
SIMBA |
18 |
8 |
7 |
3 |
11 |
31 |
4 |
COASTAL |
18 |
8 |
7 |
3 |
6 |
31 |
5 |
MTIBWA |
17 |
7 |
5 |
5 |
3 |
26 |
6 |
KAGERA |
18 |
6 |
7 |
5 |
1 |
25 |
7 |
RUVU SHOOTING |
16 |
7 |
4 |
5 |
3 |
25 |
8 |
JKT OLJORO |
17 |
5 |
6 |
6 |
-1 |
21 |
10 |
MGAMBO |
17 |
6 |
3 |
8 |
-5 |
21 |
9 |
PRISONS |
18 |
4 |
7 |
7 |
-5 |
19 |
11 |
JKT RUVU |
17 |
4 |
4 |
9 |
-13 |
16 |
12 |
TOTO |
17 |
2 |
7 |
8 |
-11 |
13 |
13 |
LYON |
18 |
3 |
4 |
11 |
-18 |
13 |
14 |
POLISI |
16 |
2 |
5 |
9 |
-10 |
11 |
+++++++++++++++++++++++++++
kutoka soka in Bongo
0 comments:
Post a Comment