
Bao za Chelsea zilifungwa Kipindi cha Pili na Ramires, Dakika ya 51, na Victor Moses, Dakika ya 73.
Mechi hiyo ya Machi ya 10 itakuwa ni
safari ya kwanza kati ya mbili ambazo Chelsea watazifanya kwenda Old
Trafford kwani Mei 4 pia watatua hapo kucheza Mechi ya Ligi na Man
Unted.
VIKOSI:
Middlesbrough: Steele, Bailey, McManus, Bikey, Friend, Carayol, Leadbitter, Rhys Williams, Haroun, Main, McDonald
Akiba: Leutwiler, Zemmama, Emnes, Ledesma, Hines, Miller, Smallwood.
Chelsea: Cech, Ferreira, Ivanovic, Terry, Bertrand, Ake, Ramires, Moses, Oscar, Benayoun, Torres
Akiba: Turnbull, Cole, Luiz, Lampard, Hazard, Marin, Ba.
Refa: Martin Atkinson
++++++++++++++++++++++++
FA CUP
ROBO FAINALI:
Jumamosi Machi 9
[SAA 9 Dak 45 Mchana]
Everton v Wigan Athletic
[SAA 2 na Nusu Usiku]
Manchester City v Barnsley
Jumapili Machi 10
[SAA 11 Jioni]
Millwall v Blackburn Rovers
[SAA 1 na Nusu Usiku]
Manchester United v Chelsea
++++++++++++++++++++++++
MFUMO FA CUP:
MSIMU WA 2012/13
NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 13 na Jumapili Aprili 14
FAINALI: Jumamosi Mei 11
+++++++++++++++++++++++++++++++++
KUTOKA SOKA IN BONGO
0 comments:
Post a Comment