BINTI MREMBO MWENYE MVUTO WA AINA YAKE, MARY, NI MIONGONI MWA MABALOZI 6 WALIOSHIRIKI KIKAMILIFU KUFANIKISHA UTENGENEZAJI WA KALENDA BORA KABISA YA MWITIKO BINAFSI "PERSONAL CALENDAR" .
KALENDA HIZI ZIMETENGENEZWA KATIKA STATIONARY YA SHULE KUU YA UANDISHI WA HABARI (SJMC)Â AMBAPO MARY NA MABALOZI WENGINE WAMESHIRIKIÂ ZOEZI HILI NA KURATIBIWA NA EDGAR MAHIRANE KUTOKA VIONJO CREAM PRODUCTION AKIONGOZA NAMNA YA KUPIGA PICHA BORA NA ZA KISASA.
 BAADA YA HAPO PICHA HIZO ZIMETENGENEZWA NA OTECHNO GALAXY, MOJA KATI YA TIMU INAYOFANYA KAZI KATIKA MASUALA YA "GRAPHICS" KATIKA STATIONARY YA SJMC.
TAFADHALI USIKOSE KALENDA YA MARY AMBAYOÂ INATARAJIA KUFANYA MAUZO YAÂ KOPI 200.
| Add caption |


0 comments:
Post a Comment