![]() |
| AFRICAN LYON |
Katibu
mkuu wa klabu hiyo Ernest Brown amesema wameingia kambini mapema ili kupata
mafanikio mazuri mzunguko wa pili wa ligi.
Pia
amesema katika kukiongezea nguvu kikosi chao, wameongeza wachezaji watatu
kutoka Yanga ambao ni Ibrahim Job, Shamte Ally na Juma Seif `Kijiko`.
Brown
amesema wana imani wachezaji hao watawasidia sana kutokana na uzoefu walionao
hao wachezaji kwani wanatoka timu kubwa ya Yanga.


0 comments:
Post a Comment