Friday, December 28, 2012





Maafande wa Polisi Morogoro chini ya kocha mkuu wake John Simkoko wanaingia kambini leo usiku mjini Morogoro kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania bara unaotaraji kuanza kushika kasi januari 26 mwakani.
Afisa habari wa klabu hiyo Clemence Banzo amesema wameingia kambini kwa lengo moja la kufanya maandalizi ya kutosha ili kujinusuru kuingia mstari mwekundu wa lkushuka daraja.
Banzo amesema ili kuhakikisha wanaongeza nguvu, wamesajili wachezaji sita wakiwemo Chacha Marwa aliyekuwa mchezaji huru, Salum Machaku kutoka Mtibwa sugar, Victor Bundala kutoka Mtibwa na wengine wengi ambao atawataja hapa.
Pia amese wachezaji hao wamesajiliwa kutoka na ripoti ya kocha wao John Simkoko aliyetaka kukiongezea nguvu kikosi chake.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video