Wednesday, June 27, 2018


Kiungo mshambuliaji Nyota wa timu ya Taifa ya Brazil, Neymar Junior akipiga mpira kwa kisigino na kumtoka kiufundi mchezaji wa timu ya Taifa ya Serbia katika mtanange mkali wa mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia uliopigwa 27, Juni 2018, Jumatano Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moskow nchini Urusi.
Brazil iliibuka kidedea kwa kuibamiza Serbia kwa mabao 2-0, mabao ya Paulinho dakika ya 36 na Thiago Silva dakika ya 68, hivyo kuiwezesha kufuzu hatua ya 16 Bora ambapo itakutana na wapinzani wao wakubwa kutoka amerika ya kusini timu ya Taifa ya Mexico 2 Julai, 2018.
Timu ya Taifa ya Uswisi iliyotoa sare ya mabao 2-2 na Costa Rica nayo imefuzu pia hatua ya 16 Bora na itamenyana na timu ya Taifa ya Sweden 3 Julai,2018.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video