Monday, February 12, 2018




Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Brazil Marcelo Vieira da Silva Júnior amesema anaamini kuwa mchezaji mwenzake wa Brazil, Neymar da Silva Santos Junior, ipo siku atajiunga na klabu ya Real Madrid nchini Uhispania.

Neymar alihamia Paris Saint-Germain kutoka Barcelona mwisho wa majira ya joto kwa ada ya uhamisho wa rekodi ya Uro laki mbili na ishirini na mbili (222,000), lakini amelazimika kukataa mara kwa mara kwamba yeye hajui kama ana furaha katika klabu hiyo licha ya kuwepo kwa uvumi kuwa uenda akatimka katika dimba la Parc des Princes.
 
Marcelo ameyasema hayo zikiwa zimebaki siku chache tu miamba hiyo ya soka barani ulaya kuumana katika michuano ya klabu bingwa barani ulaya hatua ya kumi na sita bora.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video