Saturday, December 3, 2016

Chelsea ikicheza ugenini Uwanja wa Etihad dhidi ya wenyeji Manchester City imeibuka na ushindi wa 3-1 mbele ya vijana wa Pep Guardiola.
Gary Cahil ilijifunga goli dakika 45, lakini kipindi cha pili dakika ya 60, Diego Costa aliifungia Chelsea goli la kusawazisha.
Dakika ya 70, Willian aliifungia The Blues bao la kuongoza na baadaye dakika ya 90 Eden Hazard akachomelea msumari wa tatu kwa Chelsea.
Katika hali isiyo ya kawaida, Sergio Aguero na Fernandinho wamezawaziwa kadi nyekundu dakika ya mwisho.
Aguero alimchezea madhambi mabaya David Luiz, wakati Fernandinho naye alimsukuma Fabregas mpaka kwenye mabango ya wadhamini.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video