Monday, September 19, 2016

Michezo ya raundi ya tatu ya Kombe la Ligi, nchini England maarufu kama EFL CUP, ambalo awali lilikuwa likiitwa Capital One Cup, inatarajiwa kuchezwa Jumanne na Jumatano Usiku.

Kwa mara ya kwanza timu zote vigogo za EPL, zikiwemo zinazoshiriki Mashindano ya UEFA.

Mabingwa Watetezi Manchester City wao watakuwa ugenini Jumatano kupambana na Swansea City.

Mabingwa wa EPL, Leicester City Jumanne watakuwa nyumbani katika Uwanja wa King Power kuwakaribisha Chelsea.

Timu nyingine za EPL ambazo kesho Jumanne zitakuwa dimbani ni Liverpool na Arsenal ambazo zote zitakuwa ugenini kuzivaa timu za madaraja ya chini.

Derby County watacheza na Liverpool na Nottingham Forest kuivaa Arsenal.

Jumatano Man United wapo Ugenini kuivaa Timu ya Daraja la chini Northampton Town.

Ratiba nzima hii hapa
Jumanne

Jumatano

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video