Baada ya Azam FC kumenyana na Simba jana, leo ni mapumziko kwa kikosi hicho na kesho Jumatatu asubuhi kitaanza rasmi programu ya maandalizi ya kuikabili Ndanda FC katika mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika ndani ya Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara Jumamosi ijayo Septemba 24.
Sunday, September 18, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment