
Mlinda langi wa City Angus Gunn, 20, aliokoa penati ya Mikel Morino na kuipa timu yake ushindi wa penati 6-5 baada ya droo ya 1-1 kwenye muda wa kawaida, katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Shenzhen's Longgang.
Goli la Mancester City lilifungwa na Sergio Aguero kabla ya Christian Pulisic, 17, kuisawazishia goli Borussia katika dakika za lala salama.
Huu ulikuwa ni mchezo wa kwanza kwa Man City nchini China, baada ya ule wa awali uiotakiwa kuchezwa Jumatatu dhidi ya Manchester United kufutwa kutokana na sababu za hali ya hewa.
0 comments:
Post a Comment