Friday, June 17, 2016

Kikosi cha Yanga kimewasili nchini Algeria kwa ndege ya kukodi kikitokea Uturuki katika mji wa Antalya kilipokuwa kimeweka kambi yao.
Kikosi kizima kipo salama , Vicent Bossou aliungana na wenzie nchini Uturuki hapo jana!Yanga Afrika watashuka dimbani tar 19, june (Jumapili) saa 6 usiku kwa saa za hapa Tanzania kukwaana na MO Bejaia katika mchezo wa kwanza wa michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video