Friday, June 17, 2016

Aliyekuwa mshambuliaji wa Coastal Union ya Tanga msimu uliopita, Ismail Mohamed amewasili nchini Afrika kusini kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Golden Arrows yenye makazi yake mjini Durban.
Ismail aliyekuwepo kwenye kikosi cha Wagosi wa kaya kilichoshuka daraja msimu uliopita anakwenda kujaribu maisha ya soka la nje kwenye klabu hiyo inayocheza ligi kuu ya Afrika kusini (PSL).
Timu hiyo ndio mshambuliaji wa Simba sc, Ibrahim Ajib alifuzu majaribio yake mwishoni mwa Msimu uliopita, lakini hakuweza kusajiliwa kutokana na kudaiwa kuwa na mkataba na Wekundu wa Msimbazi.
Ajib alisemekana kutoroka kwenda kujaribu Bahati yake na baadaye Simba waligoma kabisa kumuachi wakiitaka Golden Arrows kufuata taratibu zinazostahili.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video