Friday, March 11, 2016

RUMOURS: Nine players set for Chelsea exit
Gazeti la Daily Express linaripoti kuwa, Chelsea iko mbioni kuachana na wachezaji nane wa kikosi cha kwanza katika dirisha la usajili la majira ya joto endapo tu watasindwa kufuzu kushiriki ligi ya mabingwa mwakani.
Kwa sasa Chelsea wako nafasi ya 10 katika msimao wa ligi, huku wakiwa tayari wameshaondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa na Paris Saint-Germain Jumatano wiki iliyopita. 
Huku klabu ikiwa hatiani kutopata fursa ya kushiriki Ligi ya Mabingwa mwakani, kuna baadhi ya nyota watakaopitiwa na panga hilo. Wachezaji hao ni pamoja na Eden Hazard, Oscar, Nemanja Matic na Loic Remy. 
John Terry ataondoka klabuni hapo baada ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu huku kukiwa hakuna dalili yoyote ya kupewa mkataba mpya. wakati mshambuliaji Diego Costa yuko mbioni kurejea nchini Hisapania na vile vile Alexandre Pato na Pedro wakiwa mguu ndani mguu nje.
Radamel Falcao hataongezewa muda wake wa kukaa kwa mkopo kama ambavyo tetesi zimekuwa zikieleza.
Mchezaji pekee ambaye ndiyo jicho la Chelsea kwa sasa Willian atapewa mkataba mpya lakini endapo tu atakuwa tayari, vinginevyo anaweza kuondoka pia.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video