Tuesday, February 9, 2016

The Southampton midfielder (centre) chased Dimitri Payet before lunging in with a scissor tackle
Wanyama (katikati) akimchezea rafu mbaya Dimitri Payet na kumuumiza kabla ya kupewa kadi nyekundu
Wanyama will receive a five-game ban that will keep him out of action until Liverpool clash on March 19 
Wanyama atakaa nje kwa wiki sita baada ya kufungiwa michezo mitano. Punde tu akimaliza adhabu yake timu itakabiliana na Liverpool mwezi Machi 19. 
Southampton itakuwa bila ya kiungo wake mashuhuri Victor Wanyama kwa wiki sita baada ya FA kuthibitisha kwamba kadi nyekundu dhidi ya West Ham inamfanya kufungiwa michezo mitano
Hii ni mara ya tatu kwa Mkenya huyo mwenye miaka 24 kutolewa nje msimu huu, hivyo michezo mitatu aliyofungiwa na miwili ambayo inatokana na adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa inakamilisha michezo mitano.
Wanyama alipewa kadi hiyo baada ya kumchezea rafu mbaya kiungo mshambuliaji wa West Ham Mfaransa Dimitri Payet.
Wanyama alitolewa nje baada ya kupewa kadi mbili za njano katika mchezo dhidi ya Bournemouth mwezi November mwaka jana, vivyo hivyo kwenye mchezo dhidi ya Norwich mwanzoni kabisa mwa mwezi January.

KADI NYEKUNDU ALIZOPEWA WANYAMA WANYAMA  2015/16 

November 1     vs Bournemouth
January 2         vs Norwich
February 6       vs West Ham

GAME AMBAZO WANYAMA ATAZIKOSA 

February 13 vs Swansea (ugenini)
February 27 vs Chelsea (nyumbani)
March 1 vs Bournemouth (ugenini)
March 5 vs Sunderland (nyumbani)
March 12 vs Stoke (ugenini)


0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video