Monday, February 8, 2016

Amissi Tambwe akishangilia moja ya goli lake alilofunga kwenye mchezo kati ya Yanga dhidi ya Stand United

Amis Tambwe hakucheza kabisa katika mchezo wa timu yake ya Yanga dhidi ya JKT Ruvu na Hamis Kizza hakufunga katika mchezo wa timu yake dhidi ya Simba. Washambuliaji hao wawili wanaongoza chati ya ufungaji bora wakiwa na magoli 14 kila mmoja.
Donald Ngoma ambaye hakuwa amefunga goli lolote kwa michezo kadhaa, alifunga goli lake la kumi siku ya Jumapili na kuwa sambamba na Jeremiah Juma wa Tanzania Prisons. Elius Maguli wa Stand United amegota na magoli yake tisa sambamba na Ibrahim Ajib ambaye alifunga goli pekee la Simba dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa jana.
Kipre Tchetche alifunga goli lake la nane msimu huu katika ushindi wa Azam 1-0 Mwadui FC jana Jumapili. Washambuliaji hawa 7 yeyote anaweza kushinda tuzo ya ufungaji bora msimu huu. Wapambane zaidi.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video