Friday, February 5, 2016

Rekodi ya uhamisho nchini China imevunjwa tena kwa mara ya tatu katika siku kumi tu, baada ya Jiangsu Suning kutoa pauni milioni 38.4 kumsajili Alex Teixeira. 
Kiungo huyo kutoka Brazil amekuwa akisakwa na Liverpool, lakini ameamua kwenda Super League ya China. 
Kiungo wa zamani wa Chelsea Ramires alisajiliwa la Jiangsu Suning kwa pauni milioni 25. 
Jackson Martinez alifuata kwa kitita cha pauni milioni 31 kwenda Guangzhou Evergrande Taobao akitokea Atletico Madrid.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video