
Baada ya mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha, mabingwa watetezi wa ligi kuu Englanda Chelsea usiku huu wamefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya wachovi Newcastle United, mchezo ulipigwa kunako dimba la Stamford Bridge.
Magoli ya Chelsea yalifungwa na Diego Costa dakika ya 5, Pedro Rodriguez dakika ya 9 na 59, Willian 17 na Bertrand Traore 83 huku goli la kufutia machozi la Andros Townsend dakika za 90.
Video
0 comments:
Post a Comment