Sunday, February 7, 2016

 Chamberlain akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili
 Ozil akifunga goli
Arsenal leo wamefanikiwa kupata ushindi wa kwanza baada ya kushindwa kufanya hivyo katika michezo minne iliyopita kwa kuwachapa Bournemouth kwa magoli 2-0.
Magoli ya Arsenal ambao leo walikuwa ugenini yalifungwa na Ozil dakika ya 23, huku Oxlade Chamberlain akifunga la pili katika dakika ya 24.
Kwa matokeo hayo, Arsenal wamepaa mpaka nafasi ya tatu kwa kujikusanyia alama 48 juu ya Man City yenye alama 47, na chini ya Spurs na Leicester zenye alama 48 na 53.

Vikosi vya timu zote vilikuwa hivi:
BOURNEMOUTH XI (4-1-4-1): Boruc; Smith, Francis, Cook, Daniels; Surman; Ritchie (Stanislas 66), Gosling (King 66), Arter, Pugh; Afobe (Grabban 77)
Subs zisizotumika: O'Kane, Distin, Federici, Iturbe
ARSENAL XI (4-2-3-1): Cech; Bellerin, Gabriel, Koscielny, Monreal; Flamini, Ramsey; Oxlade-Chamberlain (Coquelin 67), Ozil, Alexis (Gibbs 81); Giroud (Walcott 93)
Subs zisizotumika: Ospina, Mertesacker, Campbell, Iwobi
Wafungaji: Ozil 23, Oxlade-Chamberlain 24
Kadi: Flamini
Mwamuzi: Kevin Friend
Idadi ya watu waliohudhuria: 11,357 

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video