Yanga iko mkoani Tanga, kesho ina kibarua kigumu dhidi ya Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Jana kikosi hicho cha Yanga kilifanya mazoezi ikiwa ni mwishomwisho kabla ya kazi hiyo ya kesho ya Ligi Kuu Bara.
Kocha Hans van der Pluijm, amesema anaamini kikosi chake kipo tayari.
0 comments:
Post a Comment