Monday, December 14, 2015


Wakati dirisha dogo la usajili nchini likitarajia kufungwa kesho Desemba 15 mwaka huu, klabu ya Yanga imemfanyia vipimo mshambuliaji Issofou Boubacar ‘Diego raia wa Niger ambaye yuko nchini kwa ajili ya majaribio.


Mshambuliaji huyo amepimwa tayari kwa ajili ya usajili na kama atafuzu taarifa zimeeleza atapewa mkataba wa miaka miwili.

Diego huyo wa Niger akifanikiwa atakuwa anachukua nafasi ya Coutinho raia wa Brazil.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video