
Frank Lampard akimbusu mke wake Christine Bleakley baada ya kumaliza zoezi la harusi

Akitabasamu


Bleakley ambaye ni mtangazaji wa runinga akionekana mwenye furaha na Lampard vivyo hivyo

Bleakley akiwapungia mikono watu mbalimbali


John Terry ambaye ni mchezaji mwenza wa zamani wa Lampard (kushoto) aliingia uwanjani


Branislav Ivanovic (kushoto) na Petr Cech wakiwa katika pozi na wake zao wakati wa harusi hiyo.


Familia ya Lampard wakiwemo baba yake Frank Lampard Snr (kulia) na Mjomba wake Harry Redknapp


Wanafamilia wengine walikuwemo, huyu ni mwandishi mahsusi wa kolam wa Sportmail Jamie Redknapp aliyekuwa na mke wake Louise
0 comments:
Post a Comment