LIVERPOOL IKIWA HOME KWAKE YATOLEWA JASHO.... Liverpool leo imebanwa mbavu na wenyeji West Bromwich baada ya kutoka sare ya mabao mawili kwa mawili katika mechi ya ligi kuu ya England iliyoigwa leo uwanja wa Anfield. MATOKEO YA MECHI ZA LEO
0 comments:
Post a Comment