1.Aishi Manula 28 2.Salum Kapombe 4 3.Racine Diouf 21 4.Pascal Wawa 5 5.Said Morad 15 6.Farid Morad 17 7.Frank Domayo 18 8....
WANANDINGA WA YANGA WATAKAOWAVAA MTIBWA LEO JAMHURI
1.Ally Mustafa Mtinge "Barthez". 2.Juma Abdul Jaffary. 3.Haji Mwinyi Ngwali Makame 4.Kelvin Patrick Yondani "Cotton...

HII NDIO SABABU YA STEWART HALL KUMUANZISHA BENCHI JOHN BOCCO LEO...
Kocha mkuu wa Azam FC Stewart Hall amesema wakati kikosi chake kitakapokuwa kinapambana na Coastal Union leo kwenye uwanja wa Azam Comple...

NYOSSO AKUNG'UTWA ADHABU KALI NA TFF....
Juma Said Nyosso, beki na nahodha wa kikosi cha Mbeya City amefungiwa miaka miwili kucheza soka kutokana na kitendo cha udhalilishaj...

CARRAGHER AMTUNUKU STURRIDGE NAFASI YA PILI KATI YA WASHAMBULIAJI WA EPL
Daniel Sturridge Jamie Carragher anaamini kwamba Liverpool wana mshambuliaji wa pili kwa ubora katika ligi kuu Uingereza. Nguli huy...

BENCHI LA UFUNDI YANGA LAPATA PIGO
Uongozi wa Yanga kupitia kwa afisa habari wao Jerry Muro umetoa taarifa za msiba wa mama mkwe wa kocha msaidizi wa klabu ya Yanga Charles...

AZAM USHINDI ASILIMIA 100
Mfungaji wa goli la kwanza la Azam FC Mudathir Yahya (kushoto) akishangilia goli lake na mchezaji mwenzake Farid Mussa Mfungaji wa go...

MOURINHO AIPIGIA 'DONGO' HILI HAPA NEWCASTLE
“Nadhani moja ya sababu kwa nini kwa miaka mingi Newcastle huwa hawapati nafasi nzuri katika msimamo wa ligi ni kwa sababu ya mtazamo h...

BARCELONA WAPATA PIGO
Lionel Messi anaweza kukaa nje ya uwanja mpaka wiki nane baada ya kupata jeraha la goti kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya Las Palmas uliopi...

LIVERPOOL KUCHELE ANFIELD, YAUA 3-2
Vijana wa Brendan Rodgers leo wamemlinda kocha wao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa leo katika muendelezo...

MANCHESTER UNITED HAOO KILELENI!!
Manchester United leo wamekwea kileleni mwa ligi kuu nchini Uingereza baada ya kuining'iniza Sunderland kwa mabao 3-0, mchezo ulio...

ARSENAL MWENDO MDUNDO, YAUA UGENINI
Arsenal wameamka kwa mara nyingine tena baada ya kuwafumua vibaya Leicester City kwa mabao 5-2. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Alexi...

MESSI MATATANI
Messi akiuguza maumivu Lionel Messi amepelekwa hospitali baada ya kupata mjaeraha dakika tisa tu baadaa ya mchezo wa La Liga kati ya ...

MAN CITY HOI MBELE YA SPURS WHITE HART LANE
Manchester City leo wameionja joto ya jiwe baada ya kupata kipigo kitakatifu toka kwa watoto wa London Tottenham Hotspurs cha goli 4-1,...
YANGA YAUNGURUMA TAIFA MBELE YA SIMBA LEO, YAIPIGA 2-0
Hatimaye Yanga leo wamevunja mwiko wa mahisimu wao Simba baada ya kuwashindilia mabao 2-0 katika muendelezo wa michezo ya ligi kuu Tanzan...

KESSY WA SIMBA AIPIGIA YANGA KIDUKU CHA AINA YAKE
KESSY (KULIA) AKIWA NA SSERUNKUMA Beki wa kulia wa Simba, Hassan Kessy, tayari amejiandaa kuikabili Yanga leo huku akiwa na staili ...

HII NDIO KLABU PEKEE UINGEREZA AMBAYO PELE ANGECHEZA KAMA ANGEPATA FURSA
Pele. Nguli wa soka ulimwenguni, Pele amesema kama angepata fursa ya kucheza ligi kuu nchini Uingereza, basi angekipiga kunako klabu ...
JUMA ABDUL AMTEGA PLUIJM
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm, huenda akakipangua kikosi chake kwenye mchezo wao na Simba utakaopigwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa,...

WANAKABA NOMA!!
YANGA inaendelea na mazoezi yake hapa kisiwani Pemba, tayari kwa kuwavaa watani wao Simba kesho Jumamosi, lakini katika mazoezi yao ya ...
SHUGHULI ILIKUWA PEVU SAFARI HII KWENYE KAMBI YA YANGA
Yanga na Simba wote wapo mawindoni kwa ajili ya mchezo wao wa kesho wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara. Mara nyingi timu hizi zinapokar...
KUWAONA YANGA NA SIMBA LAZIMA MFUKONI UWE NA KIASI HIKI CHA FEDHA
Viingilio vya mchezo baina Yanga na Simba utakaopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam vimetangazwa leo ambapo kiingilio cha c...

WENGER SASA AANZA KUMCHOKA GIROUD, HII NDIO KAULI YAKE
Arsene Wenger amemuonya Olivier Giroud na kumwambia kwa sasa, asibweteke tena kwa kuwa sio mshambuliaji chaguo namba moja tena klab...

HAWA NDIO WACHEZAJI AMBAO COSTA HATAKIWA KABISAA KUWAGUSA
5. Nigel De Jong – AC Milan Huyu ni Mholanzi ambaye kwa sasa, anakipiga kunako klabu ya AC Milan. De Jong amekuwa na matukio mengi ...