Huyu ni yule mshambuliaji hatari wa KMKM ya Zanzibar aliyeifunga Yanga kwenye Kagame Cup.
Lakini akapiga bao mbili wakati Simba ilipoifunga KMKM kwa mabao 3-2 katika mechi ya kirafiki mjini Zanzibar.
Matheo amesaini mkataba wa miaka miwili mbele ya Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha kuichezea Yanga.
Source:Salehjembe
0 comments:
Post a Comment