Mlinzi wa Bayern Munich, Mehdi Benatia akifunga goli la kwanza katika ushindi wa 5-0 waliopata dhidi ya Hamburg.

Benatia (kushoto) akishangilia baada ya kufunga goli la kwanza dakika ya 27 katika uwanja wa Allianz Arena

Nyota wa Austria na Bayern, David Alaba akikumbatiana na mfungaji wa goli Benatia

Straika wa Bayern, Robert Lewandowski akisafiri angani baada ya Mpoland huyo kufunga goli la pili

Thomas Muller baada ya kuandika goli la tatu

Supastaa mpya aliyesajiliwa na Bayern kutokea Juventus, Arturo Vidal, akipiga pasi murua

Douglas Costa (kulia) pia alianza katika kikosi cha kwanza

Alaba akiruka juu kuchuana na winga wa Hamburg, Michael Gregoritsch

Mholanzi wa Bayern, Arjen Robben akionesha ufundi wa kumiliki mpira wakati wanafanya 'warm-up'.

Kocha wa Bayern, Pep Guardiola ilikuwa mambo ya tabasamu tu, hapana uchungu kabisa....


0 comments:
Post a Comment