Sunday, August 16, 2015

Jose Mourinho amemrushia kijembe Arsene Wenger kwa kusema kuwa, mashabiki wa Arsenal wamechoshwa na kipindi kirefu alichokaa kocha wao klabuni hapo.
Kocha huyo wa Chelsea wiki hii amekuwa akikosolewa vibaya kufuatia kitendo alichokifanya kwa dakatari wa timu yake Eva Carneiro na Jon Fearn, wakati timu yake ilipolazimishwa sare ya 2-2 dhdi ya Swansea Jumamosi iliyopita.
Carneiro na Fearn hawatokuwepo kwenye bechi la Chelsea katika mchezo dhidi ya Manchester City utakapoigwa leo katika dimba la Etihad Stadium.
Lakini aliopoulizwa je, anashangwazwa na kubaki kwa Manuel Pellegrini katika klabu ya Manchester kufuatia matokeo yasiyoridhisha msmu uliopita, Mourinho akajibu: “kwa nini? kuna klabu nyingine hapa zimekuwa zikipata fedheha kwa takribani miaka 15 lakini makocha ni wale wale”.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video