Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) bado linaendelea na mazungumzo na wadhamini wa michuano hiyo (Coca-Cola).
Kutokana na mazungumzo hayo, ratiba ya michuano hiyo itachelewa kutoka.
Hivyo, wanawaomba kuwa na uvumilivu wakati mchakato wa mazungumzo hayo yanayokaribia ukingoni ukiendelea.

0 comments:
Post a Comment