Monday, August 10, 2015

Mabingwa wa soka Afrika mashariki na kati, Azam FC wanaendelea kujifua Visiwani Zanzibar kuelekea mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya timu ya Yanga ambayo itapigwa Agosti 22 mwaka huu uwanja wa Taifa Dar es salaam.
Afisa habari wa klabu hiyo, Jafar Idd Maganga amewaambia waandishi wa habari kwamba kesho kutwa (Agosti 12) kikosi chao kitacheza mechi ya kwanza ya kirafiki dhidi ya KMKM.
Mchezo huo utakaopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar  utaanza majira ya saa moja usiku.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video