Peter Manyika (katikati kushoto) akishirikiana akiwa na baadhi ya washiriki wa kozi ya ukocha wa magoilikipa wakielekezana jambo
Kozi ya kwa makocha wa magolikipa iliyokuwa ikiendeshwa kwenye ofisi za TFF imefungwa leo huku makocha hao wakitunukiwa vyeti baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo ambayo yalikuwa na lengo la kuwaandaa waweze kutoa elimu hiyo kwenye vilabu na timu mbalimbali za taifa ikiwemo Taifa Stars.
0 comments:
Post a Comment