Friday, June 12, 2015



NDIYO basi tena, hivi ndivyo unavyoweza kusema kuhusu mshambuliaji wa FC Platinum na timu ya taifa ya Zimbabwe ambaye anawaniwa na klabu bingwa ya soka Tanzania, Yanga, Donald Ngoma, baada ya nyota huyo kutemwa rasmi katika kikosi cha timu ya Taifa ya nchi yake.
Nafasi ya Ngoma sasa inajazwa na mashambuliaji Nyasha Mushekwi, anayecheza katika timu ya Djurgardens, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Sweden.
Kocha Mkuu wa Zimbabwe, Kalisto Pasuwa, alitangaza kikosi cha wachezaji 20, huku akimwacha nyota huyo wa FC Platinum kutokana na kutokuwa fiti kwa ajili ya mchezo wa kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2017 dhidi ya Malawi hapo kesho.
Mchezo huo ambao utapigwa katika Dimba la Kamuzu Banda jijini Blantyre, Malawi, unatarajiwa kuwa na upinzani mkali kutokana na kwamba utakuwa wa fungua dimba kwenye michuano hiyo katika kundi L ambalo pia lina timu za Guinea na Swaziland.


Via Dimba

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video