Thursday, June 11, 2015

Mourinho (kulia) akiwa katika mahojiano
Mashabiki wa Chelsea watarajie baadhi ya sura mpya Stamford Bridge majira ya kiangazi mwaka huu kwani Meneja wa klabu hiyo,  Jose Mourinho ameweka wazi kuwa anahitaji kusajili wachezaji wapya watatu.
Akizungumza kwenye mahojiano na BT Sports wiki hii wakati wa uzinduzi wa urushaji wa matangazo ya Champions League, The Special One alieleza malengo yake katika soka la usajili.
Kitu cha msingi alichosema Mourinho ni kuibakiza timu yake ileile na alimtaja Diego Costa kwamba ndiye mchezaji tegemeo lake.
Baada ya hapo Mreno huyo akafafanua kwamba ananuia kusajili wachezaji wapya watatu akiwemo mshambuliaji na kiungo mmoja.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video