Wednesday, June 24, 2015

Supastaa wa Barcelona na mchezaji anayesadikiwa kuwa mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, Lionel Messi leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa ya mwaka wa 28.
Messi ameshinda makombe 24 , kama sehemu ya kumuunga mkono siku hii muhimu, Barcelona imechapisha video ambayo haijawahi kuonekana ikimuonesha alipokuwa anacheza mpira akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kujiunga na Akademi ya La Masia.
Angalia video yenyewe hapa chini;

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video