Thursday, June 11, 2015



 KOMBE la Mataifa ya America kusini,  Copa America linaanza  usiku wa leo huko Chile ambapo wenyeji hao wanafungua dimba katika mechi ya kwanza ya kundi A dhidi ya  Ecuador.


Mechi hiyo ya ufunguzi inachezwa saa mbili na nusu kwa saa za Chile sawa na saa nane na nusu usiku  kwa saa za Afrika Mashariki kwenye uwanjwa wa “Nacional Julio Martínez Prádanos, Santiago de Chile”  ambako fainali za ligi hiyo zitamalizikia.


Mechi nyingine ya kundi “A” kati ya Wageni Waalikwa Mexico na Bolivia itapigwa kesho kwenye uwanja huo huo.


Tazama Orodha ya makundi



KUNDI A

KUNDI B

KUNDI C

1.    CHILE

   2.    MEXICO

       3.    EQUADOR

   4.    BOLIVIA

   1.ARGENTINA

2.URUGUAY

  3.PARAGUAY

4.JAMAICA

1.BRAZIL

     2.COLOMBIA

3.PERU

       4.VENEZUELA

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video