JUVENTUS baada ya kutinga fainali ya Uefa Champions League kwa ushindi wa jumla wa magoli 3-2 dhidi ya Real Madrid wali-tweet (pichani juu) wakionesha furaha yao kuelekea mechi ya fainali itayochezwa juni 6 mwaka huu uwanja wa Berlin'Olympiastadion.
Mechi ya kwanza uwanja wa Juventus mjini Turin, Juve waliichapa Real Madrid 2-1 na jana usiku Santiago Bernabeu wametoka sare ya 1-1
0 comments:
Post a Comment