MATCH FACTS
Real Madrid: Casillas, Arbeloa (Carvajal 46), Pepe, Ramos, Coentrao (Marcelo 46), Kroos (Illarramendi 26), Ronaldo, James, Isco, Bale, Hernandez.
Subs not used: Silva, Navas, Nacho, Jese.
Goals: Pepe 56, Isco 84.
Booked: Arbeloa, Hernandez, Pepe, Ramos.
Valencia: Diego Alves, Barragan, Mustafi, Otamendi, Gaya, Fuego, Parejo, Gomes (De Paul 78), Feghouli, Piatti (Orban 90), Alcacer (Negredo 69).
Subs not used: Perez, Cancelo, Vezo, Yoel.
Goals: Alcacer 20, Fuego 26.
Booked:
Gaya, Otamendi, Gomes, Parejo.
Real Madrid imeshindwa kuutumia vema uwanja wa nyumbani,
Katika mtanange huo wa kukata na shoka ulioshuhudiwa na maelfu ya mashabiki wa Real Madrid ulimalizika kwa sara ya magoli 2 -2.
Valencia ilianza mchezo huo kwa kasi isiokuwa ya kawaida na kufaanikiwa kupata mabao mawili katika kipindi cha kwanza.
Goli la kwanza lilifungwa katika ya ishirini ya mchezo kipindi cha kwanzo, baada ya Al Cacerkuongonisha pasi nzuri kutoka kwa Gaya.
Mambo yaliendelea kwenda mrama kwa upande Madrid ambapo katika dakika ya 26 walifungwa bao la pili.
Hadi kipindi cha mapumzika ilikuwa ni magoli mawili kwa nunge.
kipindi cha pili kilikuwa cha uhueni kwa Madrid na kufaanikiwa kusawazisha bao la kwanza katika dakika ya 56 baada ya Pepe kuonganisha mpira wa kona kwa kichwa.
matumaini ya Madrid yalirudi katika dakika za mwisho baada ya nyota wake Isco kusawazazisha boa la pili kwa mkwaju mkali aliopiga nje ya eneo la hatari.
Hata hivyo bahati haikuwa kwa Madrid baada ya Ronaldo kushindwa kuwasazisha penati katika katika 45.

0 comments:
Post a Comment