Wednesday, May 6, 2015

BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisa baada ya kutoka jela ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha kutoka
Thailand 
Mpambano huo wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam.
Akizungumzia matayarisho ya mpambano huo promota Kaike Siraju amesema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa hivi sasa, ambapo mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii.
Mpambano huo utakaosimamiwa na chama cha ngumi za kulipwa nchini (P.S.T) chini ya rais wake Emanuel Mlundwa,
wamesema kuwa wao wako tayari kwa mpambano huo na bondia wa Thailand ataingia nchini siku tatu kabla ya mpambano ambao utavuta hisia za wapenzi wengi wa mchezo wa ndondi nchini, siku hiyo Vicent Mbilinyi 'Sugu' atavaana na Keis Amal
Katika mpambano huo wa siku hiyo, kutakuwa na uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweather,Manny Pacquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Muhammad Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi.
pia kutakuwa na vifaa vya mchezo vitakavyokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video