Mshambuliaji wa Aston Villa Mbelgiji Christian Benteke, ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu England kwa mwezi wa Aprili.
Tuzo hiyo imekuwa ni ya kwanza kwa Aston Villa tangu Disemba mwaka 2008, ambapo wakati huo alichukua winga wa sasa wa Man United Ashley Young wakati huo akikipiga klabuni hapo.

0 comments:
Post a Comment