Saturday, April 4, 2015


YANGA SC imefanikiwa kuitupa nje ya mashindano ya kombe la shirikisho FC Platinum ya Zimbabwe na kutinga hatua ya 16 bora licha ya kufungwa bao 1-0 leo jioni katika dimba la Mandava, Zvishavane.
Bao la Platinum lilifungwa na Walter Musona katika dakika ya 29.
Kwa matokeo hayo, Yanga inasonga mbele kwa matokeo ya jumla ya mabao 5-2 baada ya awali kushinda 5-1 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam februari 15 mwaka huu.
Kipa wa Yanga, Ally Mustapha 'Bartez' ndiye alikuwa nyota wa mchezo huo kwani aliokoa michomo mingi ya washambuliaji wa Platinum.


0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video