Kiungo wa zamani wa Simba, Seleman Matola ambaye sasa ni kocha msaidizi wa Simba akiwa na mkewe Rukia Karani muda mchache baada ya kufunga ndoa leo Mwenge jijini Dar es salaam.
Baada ya kitendo hicho, wachezaji wenzake wa zamani akiwemo Boniface Pawasa, Lubigisa Lubigisa na wadau wengine wamempongeza sana Matola.
Soma maoni ya wadau waliompongeza Matola kupitia akaunti yake ya facebook




0 comments:
Post a Comment