1.Chelsea-1.06B
2.Man City-893M
3.Man United-767M
4.Liverpool-759
5.Spurs-605M
6.Arsenal-256M..
Kwa wale mnaodai Wenger afukuzwe haraka kwa kushindwa kuchukua kombe ndani ya miaka 10...know these facts
2.Man City-893M
3.Man United-767M
4.Liverpool-759
5.Spurs-605M
6.Arsenal-256M..
Kwa wale mnaodai Wenger afukuzwe haraka kwa kushindwa kuchukua kombe ndani ya miaka 10...know these facts
1.Bodi ya Arsenal iliamua kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa ili kuweza kupambana na giants kama Real Madrid, Bayern Munich, Manchester United and Barcelona. Tusingeweza kupambana na hawa wote kama tungebaki Highbury(Capacity 38 Elfu)
2.Tusingeweza kujenga uwanja mkubwa kama Emirates na bado tukashindana uwanjani na moneybags kama hao.Infact hata kuwepo top 4 na kushiriki Champions League imekuwa ni ajabu...ukilinganisha na matumizi ya fedha ya washindani wetu.
3.Fedha walizotumia Chealsea kwa usajili tu,zingeweza kujenga viwanja 3 vya Emirates...60% ya cash ya Chelsea imetumiwa na "The special one"..which is almost 600M pounds!
4.Tukiongelea hesabu za baada ya kuuza wachezaji,net spend yetu inakuwa chini ya milioni 100...ambayo kwa matumizi inatufanya tupitwe hata na Aston Villa.
4.Tukiongelea hesabu za baada ya kuuza wachezaji,net spend yetu inakuwa chini ya milioni 100...ambayo kwa matumizi inatufanya tupitwe hata na Aston Villa.
5.Washabiki mnaobeza sana mafanikio yetu ya top kwa miaka 18 mfululizo kumbukeni hili....ktk hiyo miaka 18,Spurs ameingia mara 2 tu,Man United amekosa mara moja na Liverpool kaingia mara 8 tu....by the way,ushiriki wetu wa UEFA Champions League na mapato yaliopatikana hukp ndo uliosababisha tukajenga uwanja kwa urahisi zaidi.
5.Tuliuza our best players,almost kila mwaka ili pia kulipia interest(riba) kubwa ya uwanja....Hatukuwa na namna hapo...
6.NEW BEGINNING...Baada ya mikataba midogo ya Nike na Emirates...Arsenal iliingia deals mpya kabisa na Puma na Emirates ambazo zinaingiza 70M per Year,pamoja na deals ndogo ngogo kama za Indest,Huawei,Citrion, Carlsburg,Gatored,BTsports, Bodog,Imperia Bank,MBNA,Airtel...13 deals kwa ujumla wake!From 2014 na kuendelea,mnaweza mkamlaumu Wenger sasa...hela anayo!
....Wenger sasa ameanza kutengeneza timu...since 2013-14 bodi imekuwa na sera ya kununua a big player kila msimu...tutegemee mchezaji mkubwa tena kama Ozil na Sanchez..


0 comments:
Post a Comment