Saturday, April 11, 2015

Gundogan (kulia)
Iikay Gundogan anatarajia kumfuata Mats Hummels Manchester United na tayari Louis van Gaal ametenga kitita cha paundi milioni 50 kuwanasa nyota hao wawili wa Borussia Dortmund.
Taarifa zinaeleza kuwa Van Gaal ametenga paundi milioni 15 kuinasa saini ya Gundogan.
Lakini atapewa paundi milioni 150 kusajili nyota wapya majira ya kiangazi mwaka huu.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video