Sunday, April 12, 2015


Baada ya ushindi wa jana wa mabao 2-1 waliopata Magwiji wa Barcelona dhidi ya Magwiji wa Tanzania katika mechi ya kirafiki iliyopigwa uwanja wa Taifa, Dar es salaam, waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo, Dr. Fenala Mukangara alimkabidhi kombe nahodha wa magwiji wa Katalunya, Mholanzi Patrick Kluivert.
Magoli ya Barcelona yalifungwa na Luis Garcia na Kluivert kwa mkwaju wa penalti.
Tanzania walipata bao la kufutia machozi kupitia kwa Yusuph Macho.

Patrick Kluivert akitafuta mbinu za kumtoka kipa wa Tanzania, Juma Kaseja.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video