Saturday, April 4, 2015

Veteran wa Azam fc, Abdulkarim Popat (katikati keshoto) akifanya mambo yake

WAKATI Wakristo duniani kote wakitarajia kusherekea sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo 'Pasaka' kesho jumapili, timu za wakongwe wa Azam fc ' Azam Veteran na Simba Veteran' zimeshuka katika dimba la Azam Complex, Chamazi kucheza mechi ya kirafiki.
Mechi hiyo ni sehemu ya kujiandaa na sikuu ya Pasaka pamoja na Karume Day inayofanyika kila mwaka aprili 7.
Katika kipute hicho kilichojaa ufundi mwingi wa wakongwe hao, Simba Veteran wameshinda bao 1-0.
Bao hilo pekee lilifungwa na Peter Jonh.

Kesho ilitarajiwa kushuhudiwa mechi nyingine baina ya Yanga Veteran na Zanzibar Veteran, lakini imeshindikana kwani timu ya Zanzibar haijawasili Dar es salaam.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video