QUERETARO na Club America jana zilichuana vikali na kivutio kikubwa ni nyota wa Brazil, Ronadinho aliingia dakika ya 84 na Kufunga magoli mawili.
Queretaro walishinda mabao 4-0 ugenini kwenye ligi kuu ya Mexico wikiendi.
Dakika mbili baada ya kuingia uwanjani, Ronaldinho alifunga goli na kuufanya ubao usomeke 3-0, lakini dakika za majeruhi kabisa akafunga goli la pili.


0 comments:
Post a Comment