Friday, April 17, 2015


Baada ya Suarez kumpiga matobo David Luiz utani mwingi umeendelea kwenye mtandao kuhusu Luiz. Sasa kila nchi inaandika neno tobo au Nutmeg kwa lugha ya kwao.
Hapa nimekutafutia jinsi neno tobo linaitwaje kwenye lugha za nchi kumi tofauti. Embu cheki haya maneno na lipi tifataa kulipeleka mpirani kwenu lianze kutumika.
kwa kifaransa linaitwa Petit Point
Kwa kijamaika linaitwa Salad
Kwa kijapani linaitwa Matanuki
Kwa kizambialinaitwa Pomo au Olilo
Kwa kizulu linaitwa iShibobo
Kwa kirusi linaitwa Ochko
Kwa Moroco linaitwa Bayda
Kwa kibrazil linaitwa Rolinho
Kwa kenya linaitwa Chobwe
Kwa Ghana linaitwa Sulia
Lakini mama yake ameibuka na kusema
NANI KAMA MAMA...!!?? Kitendo cha kupigwa matobo juzi, kimefanya mitandao ya michezo na mingine kuwa na dhihaka kubwa kwa beki wa kati Mbrazil David Luiz wa PSG. Vyombo vya habari, wachambuzi na mashabiki wamemkosoa beki huyo vikali. Hali hiyo, imemfanya mama yake mzazi kuingilia kati na kumtetea mwanae huyo. Mama Regina Celia ambaye ni mama mzazi kabisa wa David Luiz, ameandika kwenye Instagram; "Nina mtoto wa kiume na bado atakuwa mtoto wangu. Kichwa chake kiko juu na mpira miguuni mwake. Mungu anajua kila kitu. Yesu anatupigania mpaka siku hii na bado tunao watu wanaohukumu! Sisi ni akina nani tukuhumu wewe. Nitakupenda daima baada ya michezo mizuri na hata zaidi zaidi kwa ile ambayo haikwenda sawa".

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video