Thursday, April 30, 2015


Freddy Rincon mwenye miaka 48 anatafutwa
Polisi wa kimataifa (Interpol) wametangaza kuwa Rincon, mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Colombia ambaye aliichezea Real Madrid, Napoli,Corinthians na Santos  anatafutwa kwa tuhuma za kufanya biashara ya madawa ya kulevya nchini Panama.
Mchezaji huyo wa zamani anafanya biashara zake Panama na amekuwa akiripotiwa kushirikiana na Muuza madawa ya kulevya wa Colombia Pablo Rayo Montano.
Hii si mara ya kwanza kwa Rincon kuingia kwenye matatizo na mammlaka kwa miaka mingi sasa.
Mwaka 2007, Rincon alikamatwa kwa kosa la jina lililomhusisha na shughuli za biashara ya Cocaine huko Colombia na Panama.
Rincon aliichezea  Colombia katika fainali za kombe la dunia mwaka  1994 huko Marekani na wakati wanashinda ubingwa wa kwanza wa dunia mwaka 2000 alikuwa nahodha wa  2000 Corinthians.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video